Bsi hili linalofanya safari zake kati ya mbeya na Dodoma limepinduka katika mlima nyoka majira ya saa moja kasoro asubuhi. Taarifa za awali znasema hakuna abiria yeyote aliyepoteza maisha ktka ajali hyo ila baadhi ya abiria ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili.
EmoticonEmoticon