Mkali hyu wa bongo fleva anaetamba na nyimbo ya "asante" ndiye wakala wa muongozaji wa video Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika kusini..,
Ay amesema msanii yoyote Afrika mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo Lazima apitie kwake na atalipia gharama zote kwake kwani ndiye wakala wake hapa Afrika mashariki.
Godfather ameshafanya kazi kibao kwa wasanii wa afrika na hapa Tz amefanya kazi na Diamond,, shetta na linah!
EmoticonEmoticon