Msanii diamond plutnumz ambaye anafanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva hapa nyumbani, lakini amefanikiwa kuvuka mipaka na kufika level za kimataifa kabisa. Kupitia mitandao ya kijamii diamond amepost picha ya tuzo anazomilki toka aanze kazi ya mziki!!!!!!
EmoticonEmoticon