Saturday, 16 August 2014

KITUO CHA UMEME CHATEKETEA KWA MOTO MOSHI.

Transifoma zinazosambaza umeme katika maeneo mbali mbali ya mji wa moshi mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini!!!


EmoticonEmoticon