Thursday, 21 August 2014

MAAJABU YA BAHARI AMBAYO UKIOGELEA HUZAMI CHINI CHEKI PICHA HAPA

Hii inaitwa Dead Sea a.k.a "Bahari iliyokufa" ambayo iko katikati ya Jordan na upande wa magharibi inapakana na Israeli. sifa ya bahari hii ni watu wakiingia hawawezi kuzama!!. Duuuuuh! hii Nouma sana.


EmoticonEmoticon