Marcos Rojo beki wa kiargentina aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya sporting lisbon amethibitisha rasmi kujiunga na kikosi cha lous van gaal. Rojo amejiunga na united kwa ada ya uhamisho wa £16 pamoja na luis nani kwenda kwa mkopo.
Sasa man u kuhamishia nguvu zao kwa di maria wa real madrid.
EmoticonEmoticon