Wednesday, 20 August 2014

SAMWELI SITA KUONGEZEWA ULINZI NA GARI

Habari hii imeripotiwa na gazeti la Tanzani Daima august 19, 2014 kwamba mwenyekiti wa bunge la katiba Mh. Samweli sitta sasa hivi kaongezewa ulinzi ili kuhakikisha anakuwa salama zaidi kila anapokwenda na walinzi wawilo wanaokua nae kila anapokwenda pamoja na kuongezewa gari jingine ambalo linatumika kumbeba mmoja wa walinzi wake.


EmoticonEmoticon