Wednesday, 10 August 2016

PICHA 8: Rais Magufuli ameanza ziara yake mkoani Mwanza


 Leo August 10 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanza ziara yake mkoani Mwanza ambapo amehutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita
                                 Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.



 Rais Magufuli na Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985



Rais Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.


EmoticonEmoticon