Habari njema ninayotaka kukusogezea ni kwamba Serikali ina mpango wa kuanzisha usafiri wa majini ambao utakuwa ukianzia Posta mpaka Mbagala Usafiri huo mpya wa Boti za kisasa utasaidia kupunguza foleni za barabarani kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alisema>>>Tunao
mpango wa kuhakikisha ya kwamba wananchi wanaoishi Mbagala wanaanza
kutumia usafiri wa boti badala ya usafiri wa Daladala na tayari
tumeshatuma watu wanafanya upembuzi yakinifu kama inawezekana kutumia boti za kisasa kupunguza foleni za barabarani’– Paul Makonda
EmoticonEmoticon