Wednesday, 13 August 2014

Ebora greeting

Dah! kwa staili hii kweli tutafika, maana huu ugonjwa wa ebora umekuwa Gumzo sana,, Tuweni makini jamani na huu ugonjwa ni hatari sana!!! we ukihisi au ukiona mtu ana dalili zozote zile za ugonjwa wa ebora Paza sauti ili tuepukane na hili janga..,
#Sambaza upendo.


EmoticonEmoticon