Thursday, 14 August 2014

PICHA ZA LORI LA MAFUTA LILIOANGUKA KIMARA

Lori lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani singida limeanguka asubuhi leo eneo la kimara darajani na kusababisha foleni kubwa baada ya kuziba barabara huku wananchi wakiamua kuchota mafuta kutoka kwenye lori hilo ambalo ni mali ya Nassor filling station. Jeshi la polisi liliamua kuingilia kati kutawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali.


EmoticonEmoticon