Fiesta ndo habari iliyopo katika kichwa cha kila mpenda Burudani kwa sasa.
Na wote tunatambua kuwa leo team ya maandalizi ya Tamasha hilo ilikuwa inaendelea kufanya usajili wa wasanii ambao watafanya show katika mikoa tofauti tofauti ambayo tamasha hilo litatembelea.
Leo usajili ulikuwa unaendelea pande za Magomeni Kagera ambapo tayari umekwisha na wasanii ambao wamedondosha wino ni.
- Raymond
- Shilole
- Dogo Nigga
- Dayna Nyange
- Tiptop Connection
Unaweza kutazama kwa picha wakati wakiwa wanadondosha saini.
Raymond wa WCB Wasafi wakati akidondosha saini.
Mwanadada Shilole wakati akidondosha saini.
Msanii chipukizi anayeimba muziki aina ya SINGELI anaitwa Dogo Nigga
Mwanadada Dayna Nyange wakati akitia sahihi yake kwenye mkataba wa Fiesta
EmoticonEmoticon