Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabarani ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara moja amenusurika kifo baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo eneo LA bamaga mikocheni jijini Dar.
EmoticonEmoticon