Ajali hii iliyotokea jana maeneo ya makolye wilayani sikonge mkoani tabora, baada ya basi la sabena lililokuwa linatoka mbeya kwenda mwanza na basi la A.M linalofanya safari zake kutoka tabora kwenda katavi kugongana uso kwa uso ambapo madreva wote wa mabasi hayo wamefariki hapo hapo na mmoja akiwa amekatika kichwa. Ambapo abiria wapatao watano wamefariki hapo hapo na majeruhi zaidi ya 30 wamepelekwa katika hospitali ya mission ya wilayani sikonge.
Tuesday, 19 August 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon