Wakazi wa mbezi juu jijini dar es salaam wamefurika kumuona mnyama huyo kakakuona ambaye ni adimu sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata Bahati katika maisha yao kumuona kiumbe hyo ana kwa ana baada ya kumsikia nakumsoma katika vitabu na baadhi yao kupiga nae picha kama ukumbusho kwao...
#Hebu jioneee na ww hapa#
Saturday, 16 August 2014
KAKAKUONA AONEKANA DAR!!
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon